Judges 5:4


4 a“Ee Bwana, ulipotoka katika Seiri,
ulipopita katika mashamba ya Edomu,
nchi ilitetemeka, mbingu nazo zikamwaga,
naam, mawingu yakamwaga maji.
Copyright information for SwhNEN